Kuhusu SIKAF

Ni kampuni iliyojikita katika utoaji wa huduma zinazohusiana na afya pamoja na kilimo na mifugo. Ilianzishwa na kutambulika kisheria mwaka 2020 na makao makuu yake ni Tanzania katika jiji la Dar es Salaam - Ilala, Kata ya Gerezani Magharibi, Mtaa wa Kamata.

Huduma za SIKAF

Huduma za kisasa za vipimo na matibabu ya afya ya macho

Huduma za kisasa za Vipimo na Matibabu ya afya ya kinywa na meno

Huduma za bidhaa za urembo wa asili

Uuzaji wa bidhaa za kilimo na mifugo kutoka shamba

Uuzaji wa vifaa vya kisasa vya kilimo na mifugo

Kampuni Chini ya SIKAF

SIKAF EYE CARE

Inahusika na utoaji wa huduma za afya ya macho:

 • Vipimo na matibabu ya macho
 • Miwani za kisasa na za kimitindo
 • Ushauri na elimu ya afya ya macho
Soma Zaidi

SIKAF DENTAL CLINIC

Inahusiana na utoaji wa huduma za afya ya kinywa na meno, vipimo na matibabu ya kinywa na meno:

 • Kuziba na kuweka meno bandia
 • Kung’arisha na kunyoosha meno
 • Ushauri na elimu ya afya ya meno
Soma Zaidi

SIKAF NATURAL PRODUCTS

Inahusika na uuzaji wa bidhaa za urembo wa asili:

 • Matibabu ya ngozi kwa njia za asili
 • Urembo wa ngozi kwa bidhaa Asili
 • Elimu inayohusiana na afya ya ngozi kiasili
Soma Zaidi

SIKAF GREEN MARKET

Inahusiana na bidhaa zitokanazo na kilimo na mifugo:

 • Kilimo asili na mazao halisi kutoka shamba
 • Mifugo na bidhaa zitokanazo na mifugo
 • Vifaa vya kisasa kwa kilimo na ufugaji
 • Elimu inayohusiana na kilimo na ufugaji
Soma Zaidi